Login
 

About Rock City Mall

News and Events

CURRENT EVENTS

COMING SOON EVENTS

MAONYESHO YA URITHI
29/09/2018
Karibu kwenye Tamasha la maonyesho ya bidhaa za asili litakalofanyika katika viwanja vya Rock City Mall kuanzia tarehe 29/09/2018 hadi tarehe 06/10/2018 Tamasha hilo litatawaliwa na ubunifu wa sanaa za kitamaduni pamoja na kazi za wajasiriamali
info@rockcitymall.com

PAST EVENTS

TAMASHA LA MBIO ZA MARATHON
27/10/2018
Karibu kwenye usajili wa Tamasha la mbio za marathon litakalofanyika katika uwanja wa CCM kirumba tarehe 27-28/10/2018 usajili unafanyika ndan ya Rock City Mall ghorofa ya pili wing c mkabala na hallotel shop kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 282561081 au +255-764151119
info@rockcitymall.com
Maonyesho ya Africa Mashariki 2018
31/08/2018
Karibuni kwenye Tamasha la maonyesho ya biashara ya afrika Mashariki yatakayofanyika katika viwanja vya Rock City Mall kuanzia tarehe 31/08/2018 hadi tarehe 09/09/2018 karibun ujipatie bidhaa kwa bei nafuu kabisa
info@rockcitymall.com

Rockcity Mall
P.O. Box 172,
Mwanza-Tanzania
Tel:+255 282 560056
info@rockcitymall.com
website:www.rockcitymall.com